Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Rasimu ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameondoka kwa hasira katika kikao cha bunge hilo kinachoendelea mjini Dodoma. Hasira yao inatokana na ...
amechaguliwa kuwa Spika wa saba na sasa ni mwanamke wa pili kuliongoza Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tangu ilipopata uhuru mwaka 1961. Tulia ametanguliwa na Chifu Adam Sapi Mkwawa ...
Dar es Salaam. Februari mwaka huu, Tanzania iliandika historia baada ya Serikali kuongeza likizo yake ya mali¬po ya uzazi kwa ...
Wakizungumza mara baada ya kutembelea ujenzi wa makao makuu mapya ya mamlaka hiyo unaoendelea katika mji wa Karatu Mkoani ...
SERIKALI imelieleza Bunge itaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo kutafuta fedha kwa ajili ya miradi ya hifadhi ...