NI siku ya hukumu! Baada ya tambo za muda mrefu, leo sanduku la kura linaamua nani awe Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na ...
Maandalizi ya ukumbi watakapokaa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), watakaoamua hatima ...
Heka heka za kuelekea katika eneo hilo ambalo ndipo Chadema itakapofanya mkutano wake mkuu wa kwanza zimeanza kushuhudiwa mapema hii leo. Baadhi ya wananchi hao wameonekana wakiwa wamepakiana ...
Mwandishi wa Mwananchi aliyepiga kambi eneo hilo ameshuhudia magari manne ya polisi yakiwa na askari wa kutuliza ghasia (FFU) ...
BUNGE limepitisha Azimio la Kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Nishati Afrika ...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza jukumu ...
Swali ambalo wengi sasa wanajiuliza: Je, Lissu atailetea nini Chadema? Pia atakabiliana vipi na changamoto zijazo na zile ambazo tayari ziko mbele yake? Akizungumza katika mkutano mkuu jana ...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimefanya usaili kwa wagombea wa nafasi mbalimbali kabla ya kwenda kupigiwa kura ...