Familia za wahamiaji zinasema wasiwasi wao umesababisha dhiki kubwa, zikihofia watoto wao watanyimwa haki ya kimsingi ya uraia ambayo imekuwepo kwa muda mrefu. Meny anasema. "Nina imani hili ...
Mwaka 2022, Kamati ya Wataalamu wa Haki za Watoto na Ustawi wa Watoto ya Afrika, chombo huru cha wataalamu kinachosimamia ufanisi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Afrika katika kutii Mkataba wa haki ...
Dr de Toca says becoming a citizen of First Nations people meant more than Australian citizenship. Source: Getty Images/Don Arnold Mkataba wa Umoja wa Mataifa kwa haki za mtoto, ni makubaliano ...
mamillioni ya watu hasa watoto barani afrika hawajapata haki za chakula Chakula ni muhimu kwa maisha, kuishi, heshima, ustawi, na maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa watu binafsi, jamii, na mataifa.
Imeeleza kwamba, haki ya kwanza kuvunjwa ni haki dhidi ya ukatili inayotokana na kwa kiasi fulani imani za kishirikina huku watoto wenye ulemavu bado wakibaguliwa na kukabiliwa na ukatili ...
HIVI karibuni mwimbaji wa nyimbo za Injili Rehema Simfukwe na mumewe Isaya Lyimo, wameikabili dhana potofu kuwa watoto wenye ...