MBUNGE wa Iringa Mjini (CCM), Jesca Msambatavangu, amehoji serikali imejipangaje katika kudhibiti matukio ya wizi wa watu au ...
Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kimeweka dhamira ya kuongoza kitaifa kwa idadi ya kura atakazopata mgombea urais wa ...
Hata hivyo, Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amemtaka kuleta swali hilo kama msingi ili Serikali iweze kujibu kikamilifu.
“Vifaa nilivyopata vitanisaidia kuongeza uzalishaji na kipato changu,” alisema mmoja wa walengwa, Petro Valonge, kijana kutoka Iringa Mjini. Naye Prisca Kaile alisema mradi huo si tu umewalenga wao ...
Bulaya alipata kura 13,258. Mchungaji Peter Msigwa Alikuwa akilishikilia jimbo la Iringa mjini ameshindwa kutetea kiti chake cha ubunge kupitia Chadema, alichokuwa amekikalia kwa miaka 10.