Rais Magufuli amewahakikishia Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza kuwa serikali itaendelea kuboresha maslahi yao na vitendea kazi kama inavyofanya kwa majeshi mengine nchini Tanzania.
Tanzania chini ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, imekuwa kinara wa hamasa ya matumizi ya nishati safi ya kupikia.
TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kwa mara ya kwanza inaanza uandikishaji wapigakura kwa wafungwa, wanafunzi wa vyuo vya mafunzo na mahabusu kwa kuweka vituo kwenye magereza yote Tanzania Bara na ...
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amesema kuwa ... mpya Phaustine Martin Kasike kurekebisha dosari zilizopo katika Jeshi la Magereza, zikiwemo Serikali kubeba mzigo wa kuwalisha wafungwa ...
KUNANI Tanzania Prisons? Licha ya kuletwa kocha mpya, Aman Josiah habari ya kushtua ni kuona wakongwe wa timu hiyo wakiondolewa. Habari ambazo Mwanaspoti limepenyezewa ni uongozi wa juu katika Jeshi ...
ALIYEKUWA beki wa kati na nahodha wa Tanzania Prisons, Jumanne Elifadhili amesema licha ya kuondolewa kikosini, lakini hesabu ...
Kuachiwa kwa wafungwa hao ni matokeo ya Hamas kuwaachia wateka watatu wa Israel waliokuwa wakishikiliwa eneo la Gaza na ...
Mkataba huo umesainiwa katika Ofisi za Michezo Makao Makuu ya Magereza jijini, Dodoma na kushuhudiwa na Mkuu wa Kitengo cha Michezo Jeshi la Magereza SSP ... Klabu mbalimbali zinazoshiriki Ligi Kuu ...
Al Jazeera imeripoti kuwa miongoni mwa mateka wa Israel waliokuwa Gaza walioachiwa leo Jumamosi Februari Mosi, 2025, ni raia ...