Baada ya uvumi wa hapa na pale, hatimaye jioni ya jana ukweli umebainishwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Godfrey Chongolo amejiuzulu nafasi yake baada ya kuitumikia kwa ...
Hata hivyo kwa Chama tawala cha CCM hatukufanikiwa kumpata mgombea na badala yake tumefanya mazungumzo na Katibu mkuu wa chama hicho Bashiru Ally, mwenzetu Zuhura Yunus alizungumza nae na ...
Baadhi ya vyama vya siasa nchini vimesema havina mpango wa kususia Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa kigezo cha marekebisho ya Katiba, na kwamba suala la "No Reform, No Election" ni msimamo wa Chama cha Demok ...
Mabadiliko ya katiba ya Chama cha Mapinduzi yameanza kuwavuruga wagombea wa udiwani, ubunge na uwakilishi, ikiwa imebaki ...
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amewasili nchini Namibia akiongoza ujumbe wa CCM ...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeweka ukomo wa ubunge na udiwani wa Viti Maalumu. Taarifa ya Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeweka ukomo wa vipindi viwili vya miaka mitano kwa nafasi za ubunge/uwakilishi na udiwani wa ...
Wakati joto la uchaguzi mkuu 2025 likiendelea kupanda ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Katibu wa NEC, Itikadi Uenezi na ...
Ombi hilo linatokana na uwepo wa taarifa zinazomtuhumu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Rorya, Ongujo Wakibara ...
Matamshi yake katika kikao cha wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia ameyatoa wakati huu waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wakiingia katika Mji wa Bukavu ...