Mende walikuwa tatizo katika chumba cha kulia huku wadudu wakionekana katika nyumba anayoishi afisa mkuu wa jeshi kulingana na ripoti hiyo. Wadudu na mende pia walionekana katika chumba cha ...