Matumaini ya vyama vya upinzani kuunda mseto ili kukikabili Chama cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kama ...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amempongeza Tundu Lissu na wenzake baada ya kuibuka washindi katika uchaguzi ...
Baraza Kuu la Chadema, ambalo ndilo chombo cha juu kabisa cha maamuzi ya Chadema lenye uamuzi wa mwisho katika kikao chake hicho liliunga mkono, uamuzi wa Kamati Kuu. Kamati Kuu ya Chadema ...
Chadema ilipata mbunge mmoja wa jimbo katika ... tuliomba kuahirishwa kwa kikao cha Kamati Kuu kwa wiki moja lakini tukakataliwa. Hivyo, tuliona nio busara zaidi kutokuhudhuria," ameeleza Mdee.
Wafuasi wa Lissu wanampinga Mbowe kwa hoja kuwa, wanahitaji mabadiliko baada ya miaka 21 ya uongozi wake bila mafanikio ya ...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameweka msimamo kuhusu wabunge 19 wa Viti Maalum, ...
Baada ya kipindi cha kila miaka mitano, chadema hufanya uchaguzi kuwachagua viongozi wapya ambapo zoezi la mwaka huu lilianza siku ya Jumanne ya wiki hii. Lissu, ambaye alikuwa mgombea wa urais wa ...