Maelezo ya picha, Bunge la Tanzania Wabunge hao walitangaza kususia Bunge hilo kutokana na uamuzi wa serikali kuwasilisha miswaada mitatu ya mafuta na gesi kwa hati ya dharura. Pamoja na mambo ...
Bunge la Tanzania limeazimia kutokufanya kazi na Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za serikali, (CAG) wa nchi hiyo Prof Musa Assad baada ya kumtia hatiani kwa tuhuma za dharau kwa chombo hicho.
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results