Kauli kama hiyo pia imesemwa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, dakika chache kabla hajakamatwa na Jeshi la Polisi siku ya jana, akiwa katika eneo ambalo maandamano yangeanza katika jiji la ...
Mchambbuzi wa siasa na mwanaharakati Dkt. Thabit Jacob anasema Chadema hawakuwa na budi bali kufanya maandamano haya kama sehemu kuthibitisha kwamba mazungumo ambayo chama hicho imekuwa ikiyafanya ...
Ni kwa sababu kila lawama ya anguko la Chadema, alitupiwa Mbowe. Uchaguzi ulioharibiwa wa serikali za mitaa 2019, Uchaguzi ...
Hali ya ulinzi si suala la kutilia shaka katika viunga vya Mlimani City, Dar es Salaam, kunapofanyika mkutano wa uchaguzi wa ...