Ulinzi ukiwa umeimarishwa kwa Mwenyekiti Mpya wa Chadema Taifa, Tundu Lissu na Makamu Mwenyekiti Bara, John Heche, wakati wa mkutano huo, jana. HISTORIA imeandikwa katika Chama cha Demokrasia na Maend ...
Mwandishi wa Mwananchi aliyepiga kambi eneo hilo ameshuhudia magari manne ya polisi yakiwa na askari wa kutuliza ghasia (FFU) ...
NI siku ya hukumu! Baada ya tambo za muda mrefu, leo sanduku la kura linaamua nani awe Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na ...
Uamuzi huo wa wajumbe, unahitimisha safari ya miaka 21 ya uenyekiti wa Mbowe aliyepokea wadhifa huo kutoka kwa Bob Makani ...
Mwenyekiti wa Chadema taifa na kiongozi wa kambi rasmi ... aliwahi kushikiliwa na polisi kwa kosa la kutaka kuandaa mkutano wa hadhara nje ya jimbo lake, jambo ambalo polisi walidai kuwa lilikuwa ...
Haijalishi suala la rufaa, suala la rufaa ni tofauti kabisa, kwa sasa si wanachama wa Chadema, nimemwambia mheshimiwa rais alishughulikie hilo'' anasema Lissu. Ajenda ya mwisho katika mkutano huo ...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza jukumu ...