Lakini ibara ya kwanza ya kanuni hiyo inawapa nguvu Simba kwani inaeleza kuwa nembo ambayo klabu zinapaswa kuvaa ni ya mdhamini mkuu tu wa ligi na sio mwenza. " Nembo ya Mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ...
Ya Pili ni kuimarisha nembo ya simba duniani - watu ni sharti waone kwamba klabu hii ni zaidi ya Tanzania. Tunajaribu kubadilisha sekta na kuona klabu kama chanzo cha kufanya biashara. Tuna ...
WACHEZAJI wa Kilimanjaro Wonders, wamesema pamoja na kufungwa mabao 6-0 dhidi ya Simba, kwenye mchezo wa Kombe la FA katika ...