Ukimwaga mboga, namwaga ugali. Huu msemo unaweza kuutumia kuelezea kile kinachoendelea ndani ya Chama cha Demokrasia na ...
Cheche za chaguzi huu wa ndani zimedhihirisha Chadema bado kina wafuasi na kina ushawishi katika siasa za Tanzania, hasa kutokana na ukubwa wa mijadala inayoendelea kuelekea uchaguzi wao ...