Kundi la wavulana wa Kiislamu nchini Sudan limechapwa viboko baada ya kutuhumiwa kuvaa nguo za kike na kujiremba kama wanawake. Katika kutoa hukumu Mahakama imesema kuwa wavulana hao 19 wamevunja ...
Uswisi itawaruhusu wanajeshi wanawake kuvaa nguo za ndani za kike kwa mara ya kwanza katika jitihada za kuongeza idadi kubwa ya wanawake wanaojiunga na jeshi, vyombo vya habari nchini humo vimeripoti.