baadhi ya wanaume wana pete za jadi za harusi, anasema Yagmur Telaferli, mkuu wa mawasiliano ya chapa na maudhui katika kampuni ya vito ya Eternate yenye makao yake New York. Hata hivyo ...
Maharusi waliowasisimua wengi baada ya kutumia Sh100 pekee za Kenya kugharimia harusi, wameandaliwa sherehe ya harusi ya kufana jijini Nairobi. Sherehe hiyo ya marudio imeandaliwa katika bustani ...