Polisi jijini Dar es Salaam, Tanzania kwa siku nyingine wamekosa kumpelekea mahakamani Maxence Melo, ambaye ni mwanzilishi mwenza wa mtandao wa Jamii Forums. Taarifa kutoka kwa Jamii Forums ...
Kazi ya vikosi vya polisi ambavyo sasa vimejumuishwa katika kikosi kimoja imeendelea katika miktadha tofauti tofauti isiyolingana. Kuna jamii za kuhamahama ambazo zinaishi katika sehemu kame za ...
Kutokana na uelewa huo mdogo wa jamii, wadau hao wameiomba Mahakama kutoa elimu zaidi ili kujenga imani hususan kwa watuhumiwa ambao kesi zao zinasikilizwa kwa njia ya mtandao.
Baada ya jeshi la polisi nchini Kenya kutangaza kujitenga na vurugu kwenye mikutano ya kampeni ya kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu, Wachambuzi wa kiusalama wanasema jeshi hilo haliwezi kukimbia ...
Viongozi hao wana ongezeza sauti zao kwa wito wa waziri mkuu wa kuwepo kwa maelewano ya jamii na kukuza ushirikishwaji ... Hali hiyo imefuata kile ambacho polisi na mashirika ya ulinzi yame ...