Mwezi April katika nchi jirani ya Uganda , simba 11 walikutwa wamekufa kwa kupewa sumu katika Hifadhi ya Taifa ya Malkia Elizabeth. Polisi mkoani Mara Kaskazini Magharibi mwa Tanzania inasema ...
WAKATI Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), ikiwataka wadau wa soka kuwa watulivu kipindi hiki wakiendelea kusubiri taarifa ...
yanaletwa na uwepo wa baadhi ya mechi ambazo zinaonekana zinaweza kuwa ngumu kwa Simba ambazo mbili ni dhidi ya timu ya Namungo na pia mojamoja itakazocheza dhidi ya Azam FC,Polisi Tanzania na KMC.
Habari ya mjini ni mvutano unaoendelea baada ya mechi ya watani Simba na Yanga kuahirishwa siku ya mchezo, Machi 8, mwaka huu ...
Dar es salaam, Tanzania – Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho na mabaunsa na maafisa wanaoaminika kuwa wa Yanga katika uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa usiku, lilipelekea debi ...
KIVUMBI cha Kombe la Shirikisho (FA) kinaendelea tena leo kwa mechi sita tofauti, wakati timu 12 zitakapokuwa zikiwania ...