TIMU ya Polisi Tanzania, itatumia Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, uliopo Babati mkoani Manyara katika mechi yake dhidi ya Geita ...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameunda timu maalumu ya watu tisa ambayo ... Rais Samia amesema anatambua Jeshi la Polisi limeunda kamati ya uchunguzi lakini ameagiza iundwe kamati ...
Tmu ya Yanga wamekuwa mabingwa wapya wa ligi kuu ya Tanzania kwa mwaka 2014/2015 na hivyo kuivua rasmi ubingwa Azam iliyokuwa ikishikilia taji hilo. Ubingwa wa Yanga unakuja baada ya kuizamisha ...
KIVUMBI cha Kombe la Shirikisho (FA) kinaendelea tena leo kwa mechi sita tofauti, wakati timu 12 zitakapokuwa zikiwania ...
Simba ilizuiwa na kundi la watu wanaodhaniwa ni mashabiki wa Yanga maarufu kwa jina la makomandoo wa timu hiyo, huku pia ...