OFISA Mwandamizi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Carol Makundi amesema Watanzania wengi wamekuwa wakihofia kutumia umeme kama nishati ya kupikia kwa kudhani kuwa gharama zake ni kubwa, huku ...
JKT Tanzania ilikuwa uwanjani jana, Ijumaa, mjini Arusha, lakini katika mchezo huo kulikuwa na ishu kibao, ukiachana na ...
Amedai kuna baadhi ya wanachama wa chama hicho, wakiongozwa na Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Lema, walianzisha mpango uliopewa jina la ‘Join the Chain’. Alisema mpango huo ulikuwa na dhumuni la ...
Jumuiya ya Afrika Mashariki imeitolea mwito Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kufanya mazungumzo na pande zote zinazohusika na ...
Utenguzi wa Mtahengera, unakuja miezi michache baada ya ugomvi wa mara kwa mara na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo kwa kile kinachoelezwa wanagombana katika masuala ya kazi. Juni mwaka jana, ...
Juhudi za kushinikiza mhamo kutoka matumizi ya nishati chafuzi ya magari na kuhamia kwenye matumizi ya magari ya umeme ya nishati safi zimeanza kuonekana. Idadi ya magari ya umeme inaripotiwa ...
Freeman Mbowe, ambaye amekuwa Mwenyekiti wa chama hicho kwa kipindi cha miongo miwili, kupitia mtandao wake wa X zamani ukiitwa Twitter amempongeza mrithi wake na mkamu wake wa zamani Tundu Lissu ...
Wapatanishi wa Israel na Hamas wanafanya juhudi za mwisho kufikia mkataba wa usitishaji vita vya Gaza mjini Doha, Qatar huku pande zote zikiashiria majadiliano yamekamilika. Ripoti ziliibuka kuwa ...
Hakuna tarehe iliyotangazwa ya mkutano mpya wa mawaziri wa mambo ya nje mjini Luanda, Angola, chini ya mwamvuli wa Rais Lourenco. Kwa wakati huu, makubaliano ya amani yanasalia katika hatua ya rasimu.
Akizungumzia hilo, Joan Lukumay mkazi wa Arusha mjini, amesema hatua hiyo ni nzuri kwa sababu magari mengi ya shule ni mabovu. “Tunalipa ada ya usafiri lakini magari mengi ya shule ni mabovu, ...
ARUSHA: NAIBU Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Khamis Hamza Chilo amempongeza Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo kwa juhudi zake na misimamo thabiti inayolenga kuwatetea ...
ARUSHA: TAKRIBANI watu 33,000 kwa mwaka wanafariki nchini tanzania ikiwa ni moja ya athari ya matumizi ya nishati isiyo safi na salama. Ofisa Nishati Mkuu kutoka Wizara ya Nishati, Mussa Abbas ameelza ...