Wabunge wa Ujerumani hii leo wanatarajia kuupigia kura muswada tata wa sheria ya uhamiaji, siku chache baada ya kupitisha ...
Muungano wa kihafidhina nchini Ujerumani wa CDU/CSU umesema utaendelea na mpango wake wa kuupigia kura muswada tata unaolenga kudhibiti uhamiaji bungeni, licha ya mazungumzo ya dakika za mwisho mwisho ...
Naibu Waziri wa Nishati,Judith Kapinga amesema ni azma ya serikali kuhakikisha wananchi wanapata umeme wa uhakika na unaotabirika kwa ajili ya shughuli za kijamii na kimaendeleo. Kapinga ameyasema hay ...
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Uhuru kilichopo Wilaya ya Urambo mkoani Tabora umekamilika. Kapinga ameyasema hayo leo Februari 07 2025 ...
Katika swali la msingi, Mwaifunga ameuliza ni lini Serikali itapeleka mabadiliko ya Sheria ya Kuasili Watoto bungeni, kwani ...
Baada ya Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) kutangaza kusitisha utoaji fedha, Serikali imesema ...
Kapinga ametoa rai kwa wananchi kuunganisha huduma ya umeme wakati miradi inapotekelezwa ili kuepuka gharama miradi inapokamilika.
Tunaunga mkono rai ya Ofisi ya Rais, Tamisemi huku tukihimiza wakurugenzi kusimama kidete maji yapatikane katika shule zote ...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha inajiimarisha katika kukuza uchumi wake kwa kutumia rasilimali ...
Yemen imeharibiwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyozidi miaka 10 iliyopita, wakati Wahouthi walipotwaa udhibiti wa eneo ...
Qutaiba Shalabi na Mohammed Nazzal waliuawa baada ya makabiliano makali ya risasi na wanajeshi wa Israel usiku wa kuamkia leo huko Burqin ... akizungumza bungeni. Yantar sasa iko katika Bahari ...
Sakata la wachezaji watatu wa timu ya Singida Black Stars (SBS), waliopewa uraia wa Tanzania, limechukua sura mpya baada ya Wakili Peter Madeleka kutangaza kufungua kesi ya kikatiba Mahakama Kuu.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results