MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara, John Heche amewataka wanachama wa chama hicho kutokuingia kwenye kile alichokiita mtego wa kukipasua chama. Akizungumza na ...
Dk.Biteko amebainisha hayo leo katika mkutano Mkuu maalum wa jimbo la Msalala Wikayani Kahama ulioandaliwa na Mbunge wa jimbo Iddi Kasimu na kusema, mpasuko ndani ya Chama Cha Mapinduzi hauhitajiki na ...
Kansela wa sasa wa Ujerumani, Olaf Scholz. Berlin. Matokeo ya awali katika uchaguzi wa kitaifa nchini Ujerumani yanaonyesha chama cha Conservatives kikiongozwa na mgombea wake, Friedrich Merz ...
DAR ES SALAAM: CHAMA cha ACT – Wazalendo kimeeleza kuwa kitafanya kikao chake cha Halmashauri Kuu Februari 23, 2025 ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo jengo la Maalim Seif, Magomeni Dar es salaam.
Seneta wa chama cha CDU katika jimbo la Berlin Joe Chialo, mwenye asili ya Tanzania amewashukuru wapigakura kwa kukipa ridhaa chama chao.
Moshi. Chama cha Sauti ya Umma (Sau), kimetangaza mchakato wa uchaguzi kwa ajili ya kupata viongozi wa chama hicho ngazi ya Wilaya ya Moshi Mkoa wa Kilimanjaro, huku kikiwataka wananchi na wanachama ...