Wanasiasa saba wa upinzani wakiwemo viongozi wa juu wa chama kikuu cha upinzani Tanzania Chadema wameachiwa huru baada ya kukamilisha masharti ya dhamana. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ...
Mkutano mkuu wa Taifa wa Chama cha Mapinduzi nchini Tanzania unaanza leo mjini Dodoma ukiwa na lengo la kumchagua Mwenyekiti wa Chama na Makamu wake wawili kutoka Tanzania bara na Zanzibar.