Chadema inafanya uchaguzi wa kumchagua mwenyekiti wa chama hicho atakayekuwa kiongozi kwa miaka mitano ijayo. Ushindani mkubwa upo kwa Freeman Mbowe anayetetea nafasi hiyo na makamu wake Tundu Lissu.
Tundu Lissu anakuwa mwenyekiti wa nne katika historia ya CHADEMA baada ya kuwashinda Mbowe na Odero Charles katika uchaguzi uliofanywa na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama usiku wa kuamkia jana na ...