"Tunaona matamko mengi lakini hatuoni vitendo," waziri wa mambo ya nje Thérèse Kayikwamba Wagner aliwaambia waandishi wa habari mjini Brussels. Kwa kuhofia mzozo unaoendelea, nchi kadhaa jirani tayari ...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Singida Mjini,Shwahibu Mohamed, amesema sio kweli kwamba wajumbe 29 wa mkutano mkuu kutoka Mkoa wa Singida wanamuunga mkono mgombea ...