Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Manyara, Dk Derick Magoma, amefariki dunia ...
Mwanasiasa mkongwe nchini, Nicodemus Banduka(80) amefariki dunia akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mloganzila iliyopo ...
Mwaka 2013, kwa mfano, sekretarieti ya CCM iliyokuwa chini ya aliyekuwa Katibu Mkuu, Abduklrahman Kinana, ilizunguka nchi nzima na kukutana na kero mbalimbali zinazowakabili wananchi. Kutokana na ...
Hakika hilo ni jukumu kubwa analoanza nalo ikizingatiwa kwamba mtangulizi wake, Kinana, ndiye alikuwa mtu muhimu katika kuchora ramani za ushindi wa CCM tangu alipokuwa Katibu Mkuu wa CCM hadi Makamu ...