Baadhi ya vyama vya siasa nchini vimesema havina mpango wa kususia Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa kigezo cha marekebisho ya Katiba, na kwamba suala la "No Reform, No Election" ni msimamo wa Chama cha Demok ...
Vyama vya upinzani mkoani Mbeya vimeunga mkono mchakato wa kugawa jimbo la Mbeya Mjini, huku vikieleza uwezekano wa kushinda ...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika akizungumza jambo na Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa. SWALI ambalo umma unajuliza ...
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), inakutana katika kikao maalumu kikiwa na ajenda mbalimbali, ...
MANCHESTER, ENGLAND: PEP Guardiola amewashtua mashabiki wa Liverpool baada ya picha yake akiwa kwenye kikao cha siri na mshambuliaji wa timu hiyo, Mohames Salah huko Etihad kuonekana hadharani.
Hayo yamesemwa jijini Arusha na Mwenyekiti wa Bodi ya Parole, Balozi Khamis Kagasheki wakati kikao cha bodi cha 52 kilichoketi Arusha kwa siku mbili. Amesema wafungwa hao wanaostahili kunufaika na ...
DAR ES SALAAM: CHAMA cha ACT – Wazalendo kimeeleza kuwa kitafanya kikao chake cha Halmashauri Kuu Februari 23, 2025 ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo jengo la Maalim Seif, Magomeni Dar es salaam.
Dar es Salaam. February 21, 2025 marks one month since the opposition Chadema held what can be described as a historic election that was sufficiently free, fair, transparent and with high integrity.
Dar es Salaam. Tanzania’s opposition party Chadema’s ‘No Reform, No Election’ campaign has triggered internal divisions, with some party leaders and members at a crossroads as the 2025 general ...
Mchome, kupitia barua yake kwa Mnyika iliyosambaa mtandaoni, alihoji uhalali wa uteuzi wa viongozi wa Kamati Kuu na sekretarieti bila akidi kutimia katika kikao cha Januari 22. Mpasuko ndani ya ...
Ameitisha kikao cha ghafla na kipa wa timu hiyo Djigui Diarra ajenda kuu ikiwa ni kutathmini utendaji wake lakini kuona ni nini cha kufanya kwa haraka. Yanga inaongoza kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ...
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa likifanya kikao cha dharura jijini New York, Marekani kujadili hali ya usalama inayozidi kuzorota kila uchao huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ...