Mwenyekiti huyo mstaafu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini ametangaza rasmi atamuunga ... Lema pia alisema: "Hata yakiitishwa maandamano ya kudai Katiba Mpya na tume huru nitakuwa mbele, na nikigundua kuwa ...
Tanzania’s main opposition Chadema party stole the political limelight during its recent internal elections, which saw firebrand politician Tundu Lissu end the 21-year reign of the party’s national ...
Mamia kadhaa ya watu wameandamana jijini Tokyo wakitaka jeshi la Myanmar kumaliza ukandamizaji wake kwa raia. Raia wa Myanmar na wafuasi wao walikusanyika mbele ya ubalozi wa nchi hiyo jana ...
Mgogoro wa Sudan unatajwa kama "mgogoro mkubwa zaidi wa kibinadamu kuwahi kurekodiwa" na sasa vita vinavyoendelea kati ya vikosi vya serikali na waasi wenye silaha nchini Sudan vimehamia kwenye ...
Kuna uwezekano mkubwa kwamba ndani ya simu yako ya mkononi kuna kiasi kidogo cha chuma kilichoanza safari yake mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambako vita vinaendelea hivi sasa ...
The recent election for the chairperson and vice-chairpersons within Chadema, the main opposition party in Mainland Tanzania, concluded on January 22, 2025. During this election, members of the ...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amekoleza joto la uchaguzi ndani ya chama hicho kwa kusema mgombea atakayeshindwa na kuamua kuhama, atakiacha kikiwa imara.
Ikiwa ni wiki moja sasa tangu waasi wa M23 watangaze kutwaa Goma, jimboni Kivu Kaskazini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, na kisha serikali kutangaza Beni kuwa mji mkuu wa sasa wa ...
Dar es Salaam. Analysts have identified commendable practices and critical challenges arising from Chadema’s recent national leadership election, providing valuable insights for other political ...
Tatizo hili la ukosefu wa wanawake katika uongozi wa vyama vya siasa siyo la Chadema pekee. Vyama vingine vya Tanzania, kama ACT-Wazalendo, CCM, na CUF, vina wanawake angalau mmoja au wawili katika ...
Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimehitimisha kikao chake cha kupanga mikakati mbalimbali ikiwamo utekelezaji wa kushinikiza mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi kabla ya ...