HUKU kukiwa na kauli tofauti juu ya hatima ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) dhidi ya mchakato unaoendelea wa uchaguzi wa viongozi wakuu, Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Freeman Mbowe ...
MBIO za uchaguzi CHADEMA, zimefikia ukingoni Tundu Lissu ndiye Mwenyekiti Taifa na sasa anapanda daraja kutoka makamu na kuwa mwenyekiti, ni baada ya kumbwaga Freeman Mbowe. Kilichokonga hisia za ...