Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Victoria Mwanziva, ameendelea na ziara yake ya kata kwa kata ndani ya wilaya hiyo, akifanya ukaguzi ...
Harakati za kumkomboa mwanamke na kulinda haki zake zimeanza kuzaamatunda huku juhudi zaidi zikihitajika ili kuleta usawa wa ...
JUKWAA la Watumiaji Tanzania (TCF), kwa kushirikiana na Foundation For Civil Society (FCS), wamewaomba wananchi kutoa taarifa ...
Maafisa wa chama cha PPRD, chama cha rais wa zamani wa DRC Joseph Kabila Kabange, wameitishwa mbele ya mahakama za kijeshi.
Wakati mkutano wa 69 wa Kamisheni ya Hali ya wanawake Duniani CSW69 ukiendelea hapa New York Marekani nchini Sudan Kusini wanawake na wasichana wanaendelea kuonja shubiri ya vita, wakibakwa, kuuawa, ...
Wakati mkutano wa 69 wa Kamisheni ya Hali ya wanawake Duniani CSW69 ukiendelea hapa New York Marekani nchini Sudan Kusini wanawake na wasichana wanaendelea kuonja shubiri ya vita, wakibakwa, kuuawa, ...
Ikiwa imepita siku moja tangu kuzuiliwa nchini Angola kwa saa nane, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud ...
JUMUIYA ya Maendeleo ya Nchi Kusini mwa Afrika (SADC) imeamua kuondoa vikosi vya majeshi yake Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (SAMIDRC). Wakuu wa nchi na serikali SADC walifanya uamuzi huo Machi 13 ...
Viongozi mbalimbali wanaoshiriki mkutano wa kimataifa kuhusu matumizi ya nishati endelevu kwa watu wote unaofanyika Barbados wameshauri ...
Uwajibikaji na uwazi katika rasilimali za madini, mafuta na gesi asilia Tanzania, unatajwa kuchochea ukuaji wa uchumi na ...
Mtanzania Kamishna Dkt. Doliye achambua mafanikio yaliyopatikana katika hifadhi ya NCAA chini ya Rais Samia - Uncategorized ...
MARA nyingi maamuzi ya kisiasa huwa ni ya kuangaliana usoni na si kuangalia suala la msingi linalotakiwa litafutiwe ufumbuzi.