Maelezo ya sauti, Mkuu wa jeshi la Polisi Tanzania Simon Siro asema polisi wanashika doria mpakani 4 Agosti 2021 Jeshi la polisi nchini Tanzania limetangaza Oparesheni ya usalama inaendelea katika ...
Mkuu wa jeshi la Polisi nchini Tanzani Saimoni Siro amekiri kutokea kwa uvamizi wa kundi la kigaidi mkoani Mtwara, kusini mwa Tanzania. Siro amesema Magaidi hao walikuwa zaidi ya mia tatu ambao ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewaua kwa risasi watu wawili waliodaiwa kuwateka wanafunzi wawili wa shule ya Blessings ...
WATOTO wawili, miaka 16 na 12, wamehojiwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, baada ya kudaiwa kutoa taarifa za ...
MKUU wa Shule ya Sekondari Chambo iliyopo katika Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Zaharani Patrombeyi ...