Trump alisema shambulizi hilo, chini ya wiki mbili tangu alipoapishwa, lililenga mpangaji mkuu wa mashambulizi wa IS na ...
KOCHA wa Maafande wa Polisi Tanzania, Mussa Rashid amesema moja ya malengo aliyopewa ni kuhakikisha timu hiyo inamaliza nne bora 'Top Four', na wanahitaji sapoti zaidi kutoka kwa mashabiki na viongozi ...
TIMU ya Polisi Tanzania imeita mashabiki wake kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono kuelekea mchezo wa Ligi ya Championship dhidi ya Kiluvya United utakaochezwa katika Uwanja wa Ushirika Moshi, Februari ...
Katika uamuzi wake, Mahakama ya Afrika ilibaini kuwa Tanzania ilikiuka haki ya kuishi inayolindwa chini ya Kifungu cha 4 cha Mkataba wa Afrika, marufuku ya mateso, kutendewa kinyume cha ubinaamu na ya ...
Balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,Said Mshana, amempokea Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Moussa Faki Mahamat, aliyewasili nchini Tanzania alfajiri ya Februari 8, ...
Dar es Salaam. Zaidi ya kampuni tano za kigeni kutoka Ufaransa na Misri, pamoja na wawekezaji wa ndani ya Tanzania, wameonyesha nia ya kuwekeza katika usafirishaji wa nyaya (cable). Ili kufanikisha ...
Mhandisi Mkuu wa Usafiri wa AfDB nchini Tanzania, Mumina Wa-Kyendo, amesema kuwa zaidi ya asilimia 70 ya fedha hizo zitatengwa mahsusi kwa miundombinu ya usafiri, ikiwemo barabara, reli na viwanja vya ...
Mwanaspoti linajua kuna timu nyingine ya nchi hiyo ambayo ipo siriazi ikipania kumng’oa kocha wa Simba, Fadlu Davids tena kwa ahadi ya mkwanja mrefu wa mshahara na posho ndefu ... maslahi ambayo ...
Baada ya kuwa tayari kuweka asilimia 10 ya ushuru mpya wa forodha kwa bidhaa zinazotoka China, mkuu wa nchi ameongeza kuwa pia ataweka vikwazo vipya vya forodha siku ya Jumanne, kulingana na ...
Wakati huo huo imeripotiwa kundi hilo linasonga mbele kuelekea mji mkuu mwingine wa mkoa, hofu ya machafuko zaidi inazidi kuongezeka. Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.