SPIKA wa Bunge, Dk.Tulia Ackson amewaomba watanzania kuombea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, ili wapatikane viongozi bora na wema watakaoongoza taifa liendelee kuwa na amani. Dk. Tulia alitoa rai hiyo jan ...
BODI ya Chai Tanzania (TBT), imesema lengo kuu ni kupanga kufikia malengo waliyojiwekea kuendeleza zao hilo, kwa muda wa miaka 10 kuanzia mwaka 2024 mpaka 2034. Kaimu Mkurugenzi Bodi hiyo, Beatrice Ba ...