SPIKA wa Bunge, Dk.Tulia Ackson amewaomba watanzania kuombea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, ili wapatikane viongozi bora na wema watakaoongoza taifa liendelee kuwa na amani. Dk. Tulia alitoa rai hiyo jan ...
BODI ya Chai Tanzania (TBT), imesema lengo kuu ni kupanga kufikia malengo waliyojiwekea kuendeleza zao hilo, kwa muda wa miaka 10 kuanzia mwaka 2024 mpaka 2034. Kaimu Mkurugenzi Bodi hiyo, Beatrice Ba ...
Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imekibeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ikidai kuwa uchaguzi wa viongozi wake wa juu umewaachia vidonda, majereha na makovu yasiyoisha, ...
Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Fadhili Maganya akizungumzia kuhusiana na kongamano la sherehe za miaka 48 tangu kuzaliwa kwa chama cha CCM. Dodoma. Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha ...
Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kimezindua sherehe za miaka 48 ya kuzaliwa kwake kwa shamrashamra zilizopambwa na mshikamano wa kisiasa, ahadi za maendeleo na kauli nzito za uchaguzi ujao.
“Mapitio hayo yanaendana na utekelezaji wa Ilani ya CCM kuhusu kuimarisha huduma za kijamii ambapo imejielekeza kuhakikisha kila rasilimaliwatu inakuwa na ujuzi,” alisema. Msigwa alisema mapitio hayo ...
timu kutoka Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) inaondoka kwa magari yenye nembo ya shirika la kibinadamu ili kuwachukua mateka huko Gaza. Wanajeshi wa Israeli na wafanyakazi wa ...
Wakati Ecowas inafanyia kazi masharti ya uhusiano wake wa siku za usoni na nchi hizo tatu, inasema itaendelea kutambua hati za kusafiria na vitambulisho vyote vyenye nembo ya Ecowas inayotumiwa na ...
Tafadhali tazama yetu kufichuliwa kwa ushirika. Je, unajua kwamba chapa thabiti inaweza kuongeza mapato ya kampuni hadi 33%? Bado, kuunda nembo ya kitaaluma mara nyingi huhisi kutoweza kufikiwa na ...
Mchezo wa kuigiza kwa njia ya Redio, ambao utakuelimisha na kukuburudisha.