Mwaka 2015, walizindua nembo ya maji ya chupa kwa jina Uzima ... Maji hayo huandaliwa na kampuni ya jeshi ya NEC Uzima Ltd ambayo huhudumu chini ya Shirika la Biashara la Taifa (NEC).