Zipo taarifa kuwa baadhi ya makada wa CCM waliokuwa wakijipanga kuwania urais kwenye uchaguzi mkuu wa 2030, hawakufurahia ...
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro kimemfukuza uanachama Dk. Godfrey Malisa kufuatia matamko yake yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii dhidi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ni Rais ...
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) Augustine Holle amesema kamati yake imeridhishwa ...
Mchungaji Malisa, ambaye amewahi kugombea urais, uspika na hata ubunge, alijiunga na CCM mwaka 2021 na alikuwa miongoni mwa ...