Licha ya ukubwa wa hadhi na heshima ya Global Gates Goalkeeper Award aliyotunukiwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ukweli ni kwamba hiyo siyo tuzo yake ya kwanza katika ... kwa niaba ya ...
Bomba la mafuta la Tanzania na ... kukidhi mahitaji ya sasa nchini humo na sasa malori ya kusafirisha mafuta si mengi kama ilivyokuwa. Zege anasema mradi huo umekamilika na kuanza kutumika ndani ya ...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo ... (anayetetea nafasi yake) na ambaye jana alitangaza vipaumbele vyake; Tundu Lissu (Makamu Mwenyekiti Bara) na Charles Odero. Katika nafasi ya wagombea wa nafasi za ...
Ulega ameagiza Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kuanza kuweka taa katika barabara kuu inayoelekea mikoa ya Kusini ili kukuza shughuli za kiuchumi katika maeneo inakopita. Waziri huyo ambaye sasa ...
Mkutano huu ambao umethibitishwa na rais wa Kenya, William Ruto, ambaye ni mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, unakuja siku kadhaa kupita tangu viongozi wa jumuiya hizo kwa nyakati tofauti ...
Akiichambua sera hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Uwezo Tanzania, Baraka Mgohamwende amepongeza sera hiyo kwa kutambua mabadiliko ya kiteknolojia, kiuchumi, na kijamii kama vigezo vya ...
Johansen Josephat, Afisa Mawasiliano Kutoka Shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na uboreshaji wa huduma ya afya kwa umma nchini Tanzania ametoa maoni yake kwa kueleza jinsi walivyoguswa.
Katika kujenga hoja yake, Nyerere alitoa mfano wa kabila la Wamasai wa Tanzania na Wamasai wa Kenya na kusema hawawezi kuambiwa warudi Kenya ama Tanzania kwa kuwa nchi yao ya asili iligawanywa ...
DAR ES SALAAM: Bilionea mtanzania, Mohammed Dewji, ametangaza sarafu ya kwanza ya kidijitali Tanzania ($TANZANIA), kwa lengo la kuifanya Tanzania kuwa kinara katika ...
Kwa mujibu wa ripoti, idadi kubwa imekimbilia Tanzania kutokana na ushindani wa ligi ya nchini humo Ligi Kuu ya Tanzania (TPL) na utawala wake na ndiyo inayofuatiliwa zaidi katika ukanda wa Cecafa.
chama kikubwa na kinachotumainiwa zaidi ndani na nje ya Tanzania. Amesisitiza pia, kwamba CCM haitobadili itikadi yake katika kuwatumikia wananchi kwa kuwa binadamu wote ni sawa, hivyo wanastahili ...