Kulingana na chanzo hicho hatua hiyo ilifikiwa kufuatia mkutano kati ya Waziri Mkuu wa Qatar na wawakililishi wa Hamas na wawakilishi tofauti wa Israel katika ofisi yake. Ripoti katika vyombo vya ...
Tanga. Serikali ya Mkoa wa Tanga imeanza kuchukua hatua kuangalia namna ya kuvifufua viwanda vikubwa vitatu vya Mbolea, Mbao na Chuma hatua ambayo inaweza kurejesha matumaini ya wananchi ...
Ameitaja mikoa ... na uzoefu wa wataalamu kutoka taasisi za Tanzania, hatuendi tu kujenga mfumo imara wa sekta ya afya, tunakwenda kuimarisha uhusiano wetu na kujifunza zaidi,” amesema Balozi Anne ...
Nchi tano za Mexico zina fukwe kwenye Ghuba: Tamaulipas, Veracruz, Tabasco, Campeche na Yucatán. Nchi za Marekani za Florida, Alabama, Mississippi, Louisiana na Texas, pamoja na mikoa ya Cuba ya ...
Mambo hayo yatakayofanyika katika mkutano huo, yatasaidia kuweka ramani ya kimkakati kwa ... muhimu yatakayobadilisha mazingira ya nishati barani. Hii ni fursa ya kipekee kwa Tanzania kuimarisha ...
Ulega ameagiza Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kuanza kuweka taa katika barabara kuu inayoelekea mikoa ya Kusini ili kukuza shughuli za kiuchumi katika maeneo inakopita. Waziri huyo ambaye sasa ...
uwanja mpya wa Talanta jijini Nairobi unaendelea kupiga hatua kwenye ujenzi huku ligi ya Tanzania ikitajwa nafasi ya nne katika orodha ya ligi bora Afrika, Kenya yang'ara mashindano ya chipukizi ...
Uganda imeongeza kiwango cha tahadhari kutokana na mlipuko wa homa ya Marburg nchini Tanzania. Nchi hiyo ya Afrika Mashariki imeongeza kiwango chake cha tahadhari kufuatia taarifa za Shirika la ...
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania ... na Airpay katika kuleta mfumo wa kidijitali ili kusaidia namna nzuri ya kuwafanya wakopaji kurejesha fedha zinazotolewa na serikali bila riba ili ziweze kusaidia ...
Morocco amesema Watanzania hawatakiwi kuogopa kwani Stars nayo inahitaji kuheshimiwa na mataifa mengine kwa kuwa imeshatoka kwenye unyonge wa miaka ya nyuma. "Kwangu mimi sijaona kundi rahisi likiwemo ...
Wakati wa uzinduzi wa ripoti ya AFMI 2024 Dar es Salaam, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba alipongeza Absa Group kwa kujitolea kukuza uwazi na ufanisi katika masoko ya fedha ...
Tunapongeza kwa dhati mkutano huu kufanyika kwa siku mbili kisha kuhitimishwa salama hatua ambayo imezidi kuipaisha Tanzania chini ya uongozi madhubuti wa Rais Samia Suluhu Hassan. Kitendo cha nchi na ...