KLABU ya Simba pamoja na kushushwa hadi nafasi ya pili, bado ina matumaini ya kutwaa Ubingwa wa Tanzania Bara huku taarifa ...
HALMASHAURI ya Manispaa ya Shinyanga, imejipanga kuimarisha hali ya usafi wa mazingira, ili kulinda tuzo ya usafi ambayo ...
WIZARA ya Afya imetoa ufafanuzi kuhusu upatikanaji dawa za kupunguza makali ya Virusi vya UKIMWI (ARV), ikieleza kuwa zipo za ...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amekemea tabia ya baadhi ya wananchi wasio waaminifu wanaong’oa mabango na nguzo za anwani za ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewaua kwa risasi watu wawili waliodaiwa kuwateka wanafunzi wawili wa shule ya Blessings ...
dakika zinazotakiwa kwa taarifa ya habari," alisema. Alisema utaratibu wa TCRA wa maombi ya leseni za maudhui ya redio na televisheni unawataka waombaji kueleza jinsi watakavyohakikisha ubora wa ...
OFISI ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, imewaita waombaji waliofaulu usaili wa nafasi za kazi mbalimbali kuchukua barua zao za kupangiwa vituo vyao ndani ya siku saba baada ya ...
Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi Mkuu wa NEMC, Dk Immaculate Semesi wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tahadhari ya mvua ... jitihada zetu katika ujenzi wa Taifa. Amesema taarifa za ...
Tukio hilo limeibuka jana wakati Macha alipomtaka Mwenyekiti wa chama hicho, Cosmas Shija, awasilishe taarifa ya uzalishaji wa pamba, idadi ya wakulima, pamoja na pembejeo na viuatilifu ...
tukimaliza tutatoa taarifa ya kurejea kwa ligi," alisema Ofisa Habari huyo. Aliongeza kwao hakutakuwa na athari yoyote, na uamuzi huo umewarahisishia kumaliza ligi kwa wakati kwa sababu walikuwa ...
Mwanasiasa mkongwe, Dk Wilbroad Slaa (76) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu shtaka la kusambaza taarifa za uongo kupitia mtandao wa X (zamani twitter). Dk Slaa alifikishwa ...
Juhudi za kuwaokoa zilichelewa kutokana na uwepo wa maji mengi ndani ya duara walimokuwa wakifanya kazi. Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Wilaya ya Kahama, ASP Stanley Luhwago, akizungumza na ...