Jumla ya wanafunzi 11,524 kutoka kaya maskini zilizotambuliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) wamenufaika na mkopo wa ...
MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), umetoa elimu ya Hifadhi ya Jamii na shughuli zinazotekelezwa na mfuko huo kwa wajumbe wa baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya T ...
MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRC), umetaja athari tisa zilizosababishwa na uamuzi wa Rais wa Marekani, ...
TAASISI ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Shirika la Utangazaji Tanzania ...
KAMATI ya Bunge ya Bajeti imesema hadi kufikia Juni, 2024 deni la Serikali lilikuwa Sh.Trilioni 96.8 sawa na ongezeko la ...
Basi la timu ya Dodoma Jiji FC limepata ajali ya asubuhi hii maeneo ya Nangurukuru kuelekea Somanga mkoani Lindi likitokea ...
BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha limeagiza halmashauri hiyo kuwaua mbwa ambao hawana walezi ili kuepuka madhara ambayo yanaweza kutokea kutokana na mbwa hao. Wamefikia hatua hiyo ...
MZUNGUKO wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara umeanza, huku jumla ya wachezaji 50 wakiwa wamesajiliwa kipindi cha dirisha dogo ...