Jumla ya wanafunzi 11,524 kutoka kaya maskini zilizotambuliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) wamenufaika na mkopo wa ...
MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), umetoa elimu ya Hifadhi ya Jamii na shughuli zinazotekelezwa na mfuko huo kwa wajumbe wa baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya T ...
KAMATI ya Bunge ya Bajeti, imesema kiwango cha uhimilivu cha Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) ni asilimia 36.4 ...
MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRC), umetaja athari tisa zilizosababishwa na uamuzi wa Rais wa Marekani, ...
KAMATI ya Bunge ya Bajeti imesema hadi kufikia Juni, 2024 deni la Serikali lilikuwa Sh.Trilioni 96.8 sawa na ongezeko la ...
Basi la timu ya Dodoma Jiji FC limepata ajali ya asubuhi hii maeneo ya Nangurukuru kuelekea Somanga mkoani Lindi likitokea ...
BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha limeagiza halmashauri hiyo kuwaua mbwa ambao hawana walezi ili kuepuka madhara ambayo yanaweza kutokea kutokana na mbwa hao. Wamefikia hatua hiyo ...
MZUNGUKO wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara umeanza, huku jumla ya wachezaji 50 wakiwa wamesajiliwa kipindi cha dirisha dogo ...
RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema amesikitishwa na taarifa ya kifo cha Baba wa Taifa la Namibia na Rais wa Kwanza wa taifa ...
KLABU ya Simba pamoja na kushushwa hadi nafasi ya pili, bado ina matumaini ya kutwaa Ubingwa wa Tanzania Bara huku taarifa ...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amekemea tabia ya baadhi ya wananchi wasio waaminifu wanaong’oa mabango na nguzo za anwani za ...
WIZARA ya Afya imetoa ufafanuzi kuhusu upatikanaji dawa za kupunguza makali ya Virusi vya UKIMWI (ARV), ikieleza kuwa zipo za ...