Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 utafanyika kama ...
Uchaguzi wa viongozi hao wa kitaifa wa chama cha CHADEMA utafanyika kesho katika ukumbi wa Mliman City, Dar es Salaam. WENYEVITI NA LISSU Jana wenyeviti wa mikoa 21 na makatibu wao walikusanyika ...
Katibu Mkuu Ado alisema viongozi wa mikoa, majimbo na kata wameagizwa kuwaruhusu watiania ... Kuhusu yanayoendelea katika uchaguzi wa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kama wako ...
Viongozi hao wakikanda wanakutana kujadili mpango wa usitishwaji mara wa mapigano mashariki ya DRC. Waasi wa M23 wanaodaiwa kuungwa mkono na nchi ya Rwanda, wamekuwa wakiripotiwa kuchukua udhibiti ...
Mkutano wa pamoja wa EAC-SADC kuhusu mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umefayika siku ya Jumamosi Februari 8 katika mji mkuu wa kiuchumi wa Tanzania, Dar es Salaam. Mkutano huo umeitaka ...
Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na ile ya Kusini mwa Afrika (SADC) watakuwepo nchini Tanzania katika mazungumzo ya kujaribu kuutatua mgogoro huo. Mawaziri wametangulia kukutana siku ...
Viongozi wa nchi wametaka kusitishwa mara moja kwa mapigano, kutangazwa kwa usitishaji wa mapigano rasmi, na kurejeshwa kwa huduma muhimu kama vile maji, chakula, na bidhaa nyingine za msingi.
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi 'Sugu' akiwa na wanawake wanaounda Baraza la Wanawake wa Chama hicho Taifa (Bawacha) katika mkutano uliofanyika jijini Mbeya. Mbeya. Mwenyekiti wa ...
kimewataka wanachama wake kujipanga vizuri kwa ajili ya uchaguzi wa chama hicho, ili kuchagua viongozi watakaolinda maslahi na uhai wa chama. Akizungumza leo, Februari 10, 2025, jijini Dar es Salaam, ...