Dar es Salaam. Wenyeviti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutoka mikoa 21, wametoa tamko rasmi la kumuunga mkono Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu katika kinyang'anyiro cha ...
Januari 19, 2025 wenyeviti 21 wa Chadema walitangaza pia kumuunga mkono Lissu jijini Dar es Salaam, lakini siku hiyohiyo, baadhi ya viongozi wakiwamo wenyeviti watatu wa mikoa walijitokeza wakisema ...
Uchaguzi wa viongozi hao wa kitaifa wa chama cha CHADEMA utafanyika kesho katika ukumbi wa Mliman City, Dar es Salaam. WENYEVITI NA LISSU Jana wenyeviti wa mikoa 21 na makatibu wao walikusanyika ...
MWENYEKITI wa Kanda ya Victoria wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ezekia Wenje amemjia juu Godbless Lema, akidai ni miongoni mwa makada waliosuka mpango wa kumpindua Mwenyekiti wao, ...
Viongozi waliochaguliwa wa mikoa ya Kivu Kaskazini na Kusini walionyesha uungaji mkono wao kamili kwa Mkuu wa Nchi kwa hatua zote za kisiasa, kidiplomasia na kijeshi zilizochukuliwa. Inatokea sasa ...
ambaye ni mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, unakuja siku kadhaa kupita tangu viongozi wa jumuiya hizo kwa nyakati tofauti wakubaliane kuwa na mkutano wa pamoja. Katika mkutano huu ...
Chadema inafanya uchaguzi wa viongozi wake wa ngazi ya taifa huku nafasi ya Mwenyekiti wa chama ikigombaniwa na watu watatu; Freeman Mbowe, Tundu Lissu na Odero Charles Odero. Hata hivyo mchuano ...
AFP Katika mkutano wa hivi karibuni uliohudhuriwa na viongozi wa serikali mpya, Sharaa alielezea vipaumbele vyake kwa ajili ya Syria ya baadaye. Kipaumbele cha kwanza alisema ni "kuziba pengo la ...
Waziri Mkuu wa Japani Ishiba Shigeru na Rais wa Marekani Donald Trump wanatarajiwa kufanya mkutano wao wa kwanza Februari 7 jijini Washington nchini Marekani. Maafisa wa serikali wamekuwa ...
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC Karim Khan anatafuta vibali vya kuwakamata viongozi wawili wa Taliban nchini Afghanistan kwa tuhuma za kuwanyanyasa wanawake na ...
Lakini wafuatiliaji wa masuala ya siasa za Tanzania wanasema kuna hatari ya Chadema kudhoofika na kugawanyika kutokana na tuhuma ambazo viongozi hao wawili walitupiana wakati wa kapeni za uchaguzi.
25.01.2025 25 Januari 2025 Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kwa upande wa Bara, CHADEMA, kilihitimisha mkutano wake mkuu ambao kwa mara ya kwanza ndani ya miongo miwili umebadilisha ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results