Trump alisema shambulizi hilo, chini ya wiki mbili tangu alipoapishwa, lililenga mpangaji mkuu wa mashambulizi wa IS na ...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema mpango wa kukagua magari kwa macho sasa basi, badala yake magari yote ...
Kamisheni ya Zanzibar, Naibu Kamishna wa Polisi, Simon Chillery amewataka maofisa wa madawati ya jinsia na watoto (PGDs) kuongeza nguvu na uadilifu katika kushughulikia kesi za udhalilishaji ...
100,000 ili kupata dhamana katika vituo vya polisi hali inayowafanya baadhi yao kushindwa kuendelea ... alisema baadhi ya bodaboda hawana leseni akitaja sababu kuu kuwa si raia wa Tanzania, hivyo ...
TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kwa mara ya kwanza inaanza uandikishaji wapigakura kwa wafungwa, wanafunzi wa vyuo vya mafunzo na mahabusu kwa kuweka vituo kwenye magereza yote Tanzania Bara na ...
CHAMA Cha Wakunga Tanzania (TAMA) kwa kushirikiana na serikali ,UNFPA na ... jumla itakuwa siku 15 matarajio ni kuwafikia wakunga 90 wanaofanya kazi kwenye vituo vya afya vya kutolea huduma za afya ...
KOCHA wa Maafande wa Polisi Tanzania, Mussa Rashid amesema moja ya malengo aliyopewa ni kuhakikisha timu hiyo inamaliza nne bora 'Top Four', na wanahitaji sapoti zaidi kutoka kwa mashabiki na viongozi ...
TIMU ya Polisi Tanzania imeita mashabiki wake kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono kuelekea mchezo wa Ligi ya Championship dhidi ya Kiluvya United utakaochezwa katika Uwanja wa Ushirika Moshi, Februari ...
Katika mapigano ya hivi punde, takriban watu 3,082 wamejeruhiwa na 843 kuuawa, huku hospitali na vyumba vya kuhifadhia maiti vikisemekana "kuzidiwa", WHO imesema, ikinukuu ripoti kutoka vituo vya ...
Kulingana na vyanzo vya polisi, ilikuwa saa 10:30 jioni wakati wahalifu hao wenye silaha waliingia katika nyumba yake huko Tremblay-en-Ufaransa. Dada wa mwanamuziki huyo pia ndiye meneja na ...
Kocha huyo amejiunga na timu hiyo na kuiongoza katika michezo miwili akishinda mmoja kwa mabao 2-1, dhidi ya Geita Gold na sare ya 1-1, mbele ya Polisi Tanzania, akichukua nafasi ya Maka Mwalwisi, ...