WAKULIMA wa viazi mviringo mkoani hapa wameiomba serikali kuongeza upatikanaji wa mbegu za zao hilo ili kukabiliana na uhaba na kusababisha kushindwa kuzalisha kwa wingi. Ombi hilo walilitoa mwishoni ...
WAKULIMA na wafanyabiashara wadogo nchini wameshauriwa kutumia bima ili wanapopatwa na majanga kwenye biashara zao au kwenye kilimo, bima hiyo itumike kufidia hasara za majanga kwenye shughuli zao ...