Wajumbe 84 wa mkutano mkuu wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), wamemchagua, Richard Lyimo kuwa Mwenyekiti wa chama ...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo ameyasema hayo leo Ijumaa Januari 31,2025, wakati wa uzinduzi wa mfumo wa usimamizi wa ghala kupitia CCTV wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi ...
SHILINGI bilioni 2.9 zinatarajia kutekeleza mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kukamua mafuta yatokanayo na mbegu za zao la pamba ...
Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha, Maxmillian Iranqhe, amezindua mitambo maalum ya kukarabati barabara za mitaa 154 pamoja na ...
Manchester United huenda ikamsajili mshambuliaji wa Chelsea na Ufaransa Christopher Nkunku, 27, kwa mkopo ikiwa Muingereza Marcus Rashford, 27, ataondoka katika klabu hiyo. (The Athletic ...
Roma wanataka kumsajili kiungo wa kati wa Manchester United na Brazil Casemiro, 32, kwa mkopo hadi mwisho wa msimu huu, lakini uhamisho unategemea kumuuza mchezaji wa kimataifa wa Argentina ...
Zanzibar. The vice chairman of the opposition Chadema party in Zanzibar, Mr Said Mzee Said, has reiterated that the party's stance on electoral reforms remains unchanged, warning that without ...
Tanzania’s political landscape has just witnessed a seismic shift. The election of Tundu Lissu as Chadema’s chairman, triumphing over veteran leader Freeman Mbowe, isn’t merely a changing of the guard ...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amesihi wanachama wa chama hicho wasameheane. Lissu amesema hayo Dar es Salaam wakati wa hafla ya kukabidhiwa ofisi katika makao ...
Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imekibeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ikidai kuwa uchaguzi wa viongozi wake wa juu umewaachia vidonda, majereha na makovu yasiyoisha, ...