Moshi. Upande wa mashitaka, katika kesi ya mauaji yanayomkabili mkazi wa Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Beatrice ...
Amedai kuwa, baada ya tukio hilo kutokea, mshitakiwa alipiga kelele na ndipo alijitokeza mwenyekiti wa kitongoji hicho pamoja na baadhi ya majirani wa eneo hilo.