JKT Tanzania ilikuwa uwanjani jana, Ijumaa, mjini Arusha, lakini katika mchezo huo kulikuwa na ishu kibao, ukiachana na ...
Utenguzi wa Mtahengera, unakuja miezi michache baada ya ugomvi wa mara kwa mara na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo kwa kile kinachoelezwa wanagombana katika masuala ya kazi. Juni mwaka jana, ...
Wagonjwa wa figo katika Mkoa wa Manyara wataanza kunufaika na huduma ya kusafisha figo baada ya kupatikana mashine sita zenye ...
NYOTA wa Tanzania, Madina Iddi na Vicky Elias wameambulia patupu kwenye mashindano ya gofu ya mashimo 36 ya R&A yaliyofanyika ...
Mara baada ya wagombea wakuu Mbowe na timu ya kampeni ya Lissu kutuma salamu za matokeo kupitia mtandao wa X, wakala wa Lissu kwenye uchaguzi huo na aliyekuwa Mbunge wa Arusha Godbless Lema ...
MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha, amemwapisha Mkuu wa Wilaya ya Kishapu, Peter Masindi, huku akimpatia maagizo ...
Amedai kuna baadhi ya wanachama wa chama hicho, wakiongozwa na Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Lema, walianzisha mpango uliopewa jina la ‘Join the Chain’. Alisema mpango huo ulikuwa na dhumuni la ...
Kura za Mbowe zinasimamiwa na Meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob wakati zile za Lissu zikisimamiwa na Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema. Matokeo ya uchaguzi yanatarajiwa ...
Tuanavyosema Mwenyekiti apumzike hatuna maana hana nguvu,” amesema Lema ambaye pia amepata kuwa Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chadema. Mbowe na Lissu wote wamechukua fomu kuwania nafasi ya uenyekiti ...
SERIKALI imeiwezeshaTaasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) Sh bilioni 21.8 kwa kipindi cha miaka minne ili kutekeleza kazi ...
Looking for information on Arusha Airport, Arusha, Tanzania? Know about Arusha Airport in detail. Find out the location of Arusha Airport on Tanzania map and also find out airports near to Arusha.
Jumuiya ya Afrika Mashariki imeitolea mwito Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kufanya mazungumzo na pande zote zinazohusika na ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results