Mwenyekiti huyo mstaafu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini ametangaza rasmi atamuunga mkono Tundu Lissu katika kinyang`anyiro hicho, huku akiwa na lingine la ziada kwamba hatogombea ubunge jimboni Arusha ...
JKT Tanzania ilikuwa uwanjani jana, Ijumaa, mjini Arusha, lakini katika mchezo huo kulikuwa na ishu kibao, ukiachana na ...
Amedai kuna baadhi ya wanachama wa chama hicho, wakiongozwa na Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Lema, walianzisha mpango uliopewa jina la ‘Join the Chain’. Alisema mpango huo ulikuwa na dhumuni la ...
Jumuiya ya Afrika Mashariki imeitolea mwito Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kufanya mazungumzo na pande zote zinazohusika na ...
Utenguzi wa Mtahengerwa, unakuja miezi michache baada ya ugomvi wa mara kwa mara na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo kwa kile kinachoelezwa wanagombana katika masuala ya kazi.
Ni Msemaji wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu Umoja wa Mataifa, OHCHR, Ravina Shamdasani hii leo katika mkutano na waandishi wa habari mjini Geneva, Uswisi akieleza kuwa OHCHR inatiwa hofu ...
Juhudi za kushinikiza mhamo kutoka matumizi ya nishati chafuzi ya magari na kuhamia kwenye matumizi ya magari ya umeme ya nishati safi zimeanza kuonekana. Idadi ya magari ya umeme inaripotiwa ...
DAR ES SALAAM; SIMBA wameanza kutamba bwana! Leo walijana pale Viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke, Dar es Salaam kufuatilia kwenye televisheni mchezo wa mwisho hatua ya makundi kati ya timu hiyo na CS ...
Wapatanishi wa Israel na Hamas wanafanya juhudi za mwisho kufikia mkataba wa usitishaji vita vya Gaza mjini Doha, Qatar huku pande zote zikiashiria majadiliano yamekamilika. Ripoti ziliibuka kuwa ...
Hakuna tarehe iliyotangazwa ya mkutano mpya wa mawaziri wa mambo ya nje mjini Luanda, Angola, chini ya mwamvuli wa Rais Lourenco. Kwa wakati huu, makubaliano ya amani yanasalia katika hatua ya rasimu.
Tuanavyosema Mwenyekiti apumzike hatuna maana hana nguvu,” amesema Lema ambaye pia amepata kuwa Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chadema. Mbowe na Lissu wote wamechukua fomu kuwania nafasi ya uenyekiti ...