Januari 16, 2025 watu maarufu, hasa wasanii wa makundi yote – waigizaji wa filamu na tamthiliya (Bongo Movie), wanamuziki, ...
"Wakati ninakabidhiwa hata bendera yetu ilikuwa ya rangi moja ... tupendane tuvumiliane, tuijenge familia ya CHADEMA.” Naye Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Lissu, alisema vijana ndiyo nguvu ya ...
Rais wa Marekani Donald Trump, baada ya kurejea madarakani Januari 20, ametangaza hatua ya serikali yake, kusitisha misaada hasa ya kifedha kwa nchi za kigeni, kupitia Shirika la Misaada ya ...
“Raise your ya ya ya.” Pretty self-explanatory, right? Well, maybe not. If that phrase confuses you, but you've heard your kids belt it out, they're probably familiar with a mega-viral TikTok ...
Mtandao wa mashirika yasio ya kiserikali-EURAC, ambao unakusanya karibu mashirika yasio ya kiserikali ya Ulaya zaidi ya thelathini unashutumu "mtazamo shirikishi" na "usiofaa" wa Umoja wa Ulaya ...
Licha ya ahadi za kuboresha uwakilishi wa wanawake katika uongozi wa juu wa chama, matokeo ya uchaguzi wa hivi karibuni yanaendelea kuonyesha pengo la kijinsia. Ushindani mkali, ukosefu wa rasilimali ...
Kuna uwezekano mkubwa kwamba ndani ya simu yako ya mkononi kuna kiasi kidogo cha chuma kilichoanza safari yake mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambako vita vinaendelea hivi sasa.
Tanzania’s main opposition Chadema party stole the political limelight during its recent internal elections, which saw firebrand politician Tundu Lissu end the 21-year reign of the party’s national ...
Katika hotuba yake ya ufunguzi kwenye kikao cha 2025 cha Kamati ya Haki Isiyotenguliwa za Watu wa Palestina hii leo kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa New York Marekani, Katibu Mkuu wa Umoja wa ...