Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Bulaya amekipongeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kuendesha uchaguzi wa ndani kwa uwazi na kufuata misingi ya demokrasia.
MBUNGE wa Viti Maalumu, Esther Bulaya, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Tundu Lissu.
HISTORIA imeandikwa katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya kupata mwenyekiti mpya baada ya miaka takribani 20 ya uongozi wa Freeman Mbowe. Tundu Lissu anakuwa mwenyekiti wa nne ...
Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Bulaya amekipongeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kuendesha uchaguzi wa ndani kwa uwazi na kufuata misingi ya demokrasia.